Skip to main content
Skip to main content

Walioshamiri kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE 2025 waendelea kusherehekea

  • | KBC Video
    813 views
    Duration: 2:51
    Shule ambayo imekuwa ikibobea katika mchezo wa kandanda eneo la Nyanza, shule ya wasichana ya Nyakach imethibitisha kuwa si mabingwa kwa michezo pekee bali kwa elimu pia baada ya kunakili matokeo bora katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa hivi punde. Wanafunzi 650 kati ya 659 waliofanya mtihani huo wa kitaifa mwaka jana katika shule hiyo, wamefuzu kwenda chuo kikuu. Shule hiyo pia imeboresha alama yake ya wastani kutoka 7 hadi 9. Achola Simon anaarifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive