Waliovamiwa na wanyamapori walipwa fidia na KWS

  • | Citizen TV
    127 views

    Ni afueni kwa wakazi wa kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali kuu kupitia wizara ya Utalii na wanyamapori kutoa jumla ya shilingi milioni 45 kwa ajili ya kulipa fidia familia za walioathirika na visa vya kushambuliwa na wanyamapori.