Skip to main content
Skip to main content

Wamarekani saba wawekwa karantini katika kituo cha Ebola nchini Kenya

  • | BBC Swahili
    5,816 views
    Duration: 1:28
    Hatua ya Marekani ya kuweka masharti mapya ya usafiri kwa watu wanaotoka maeneo yaliyoathiriwa na Ebola imewaathiri wafanyakazi saba wa misaada waliokuwa wakifanya kazi DR Congo. Wafanyakazi hao sasa wamewekwa karantini nchini Kenya katika kituo ambacho kimezua utata mkubwa wa kisheria na kisiasa. Mwandishi wa BBC, @mrs.tadicha na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #Ebola #DRC #kenya #marekani🇺🇸 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw