Wamijikenda, wapemba wazozana baada ya mvuvi kuuawa

  • | Citizen TV
    261 views

    Katika juhudi za kuimarisha uhusiano kati ya wavuvi, wenyeji na wale wa jamii ya kipemba katika eneo la Mnarani, kaunti ya Kilifi, serikali kupitia kamati ya usalama wa eneo hilo na washikadau mbali mbali imeandaa kikao cha amani.