Wamiliki wa nyumba kwenye ghorofa kulipa ada

  • | Citizen TV
    3,193 views

    Wamiliki wa nyumba kwenye majengo yenye ghorofa wataanza kulipia ada nyumba hizo katika kaunti ya Nairobi kuanzia Januari mwaka ujao. Sheria mpya ya mali na ardhi ya mwaka 2022 ambayo tayari inatekelezwa inaipa kaunti ya Nairobi mamlaka ya kukusanya ada hiyo kuanzia Januari. Ada hizo zitaratibiwa kulingana na eneo ambako ardhi hiyo iliko na ukubwa wake.