Wamuchomba atofautiana na mtangulizi wake kuhusiana na uzinduzi wa ujenzi wa barabara

  • | KBC Video
    84 views

    Mvutano ulizuka katika eneobunge la Githunguri baada ya mbunge Gathoni Wamuchomba kutofautiana na aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Gabriel Kago, kuhusiana na uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya kilomita nne. Wamuchomba alimshutumu Kago kwa kushirikiana na maafisa serikalini kulemaza juhudi zake za maendeleo, huku Kago akisisitiza kwamba akiwa kiongozi ana uhuru wa kuanzisha miradi ya maendeleo. Wamuchomba aliyefika kwenye hafla hiyo alifanya uzinduzi wa barabara hiyo akikariri kwamba ulikuwa ni wajibu wake kama kiongozi aliye mamlakani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive