Wanabodaboda Kitengela waomba msamaha baada ya wanabodboda kumvamia dereva wa gari

  • | KBC Video
    237 views

    Hali ya utulivu imerejea mjini Kitengela, kaunti ya Kajiado baada ya saa nne za mvutano kati ya wanabodaboda na polisi ambao uliathiri shughuli za uchukuzi mjini humo. Hii ni baada naibu kamishna wa kaunti hiyo kwa ushirikiano na polisi kufanikiwa kuwashawishi wanabodaboda hao kuomba msamaha kufutia tukio la Alhamisi ambapo wanabodboda walimvamia dereva wa gari kufuatia ajali. Mwanahabari wetu Tilio Marko na mengi zaidi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive