Wanachama wa Kenya Kwanza Bungoma washauriwa kuwacha Malumbano

  • | West TV
    65 views
    Aliyekuwa waziri wa mitaa na mbunge wa Webuye Musikari Kombo amesikitikia mgawanyiko unaoshuhudiwa katika muungano wa kenya kwanza katika kaunti ya Bungoma hasa kuhusiana na uchaguzi wa kiti cha useneta kaunti hiyo.