Wanachama wa UDA eneo la Taita Taveta wafanya mkutano wa faragha mjini Voi

  • | Citizen TV
    240 views

    Wanachama wa UDA Taita Taveta wamefanya mkutano wa faragha mjini voi ili kuweka mikakati ya kuendeleza uwiano miongoni mwa viongozi waliochaguliwa.