6 Feb 2026 10:28 am | Citizen TV 62 views Wanachana wa shamba la Imbirikani lililoko Kajiado Kusini ambalo limekuwa likikumbwa na mzozo wa muda mrefu wamepinga vikali njama ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Viongozi wa shamba hilo .