Wanachama watatu wa genge la wahalifu wameshtakiwa katika mahakama ya Malindi kwa makosa mbalimbali ya uhalifu ikiwemo kuwashambulia wananchi, kuwajeruhi na kuwaibia mali yao. Ali Athman Shekue, Yasser Shiyalo na Anderson Jillo walifikishwa mbele ya hakimu mkuu mwandamizi wa Malindi Nancy Makau, ambapo Shekue na Jillo walikanusha madai hayo na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu-50 kila mmoja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive