Wanafunzi 10,000 kupewa ufadhili wa masomo Njoro

  • | Citizen TV
    154 views

    Wanafunzi elfu kumi na nne, mia tatu tisini, kutoka eneo bunge la Njoro kaunti ya Nakuru hii Leo wanapewa ufadhili wa karo kupitia hazina ya fedha za Ustawishaji wa maeneo bunge - NG-CDF ya kima Cha shilingi milioni sabini, hii ikiwa afueni Kwa wanafunzi hawa wanaotoka shule za upili, vyuo vya anuai na vyuo vikuu. Evans Asiba anaarifu zaidi kutoka Njoro.