Wanafunzi 650 wakongamana katika kaunti ya Kilifi katika hamasisho la uongozi na maadili mema

  • | Citizen TV
    128 views

    Huku wanafunzi wakiendelea na likizo yao, Zaidi ya wanafunzi 650 kutoka kaunti tatu za pwani zikiwemo kilifi, lamu na Tana River wamekongamana katika shule ya upili ya St Thomas mjini kilifi kwa lengo la kupokea ushauri kuhusu maswala ya uongozi na mabadiliko ya tabia na madili katika jamii. Kongamano hilo limewashirikisha wadau mbali mbali ikiwemo wizara ya elimu, serikali ya ujerumani pamoja na wakfu ya Equity