wanafunzi 7,000 wapokea ufadhili wa masomo Nakuru

  • | Citizen TV
    152 views

    Wanafunzi elfu Saba kutoka shule za kutwa katika eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru wamenufaika na ufadhili wa Masomo wa takribani shilingi milioni kumi na tatu nukta tano.