24 Sep 2025 10:39 am | Citizen TV 674 views Duration: 1:06 Wanafunzi 26 kutoka maeneo mbali mbali ya Kaunti ya Kajiado watawakilisha Kenya kwenye mashindano ya Roboti yatakayoandaliwa kwanzia tarehe 26 hadi 27 mwezi huu katika jiji la Accra Nchini Ghana.