Wanafunzi kutoka kaunti ya Kilifi wakosa kujiunga na kidato cha kwanza kwa kukosa karo

  • | Citizen TV
    127 views

    Mwezi mmoja baada ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kujiunga na sekondari, baadhi ya wanafunzi nchini bado wamesalia nyumbani. Shukrani Kenga kutoka kijiji cha Roka kaunti ya kilifi ni mmoja wa wanafunzi ambao wamekosa kujiunga na Shule kutokana na ukosefu wa karo. Kenga alipata Alama 309 katika mtihani wa kcpe 2022 na aliteuliwa kujiunga na Shule ya upili ya chumani.