Wanafunzi na walimu wa Starehe waungana kuendesha baiskeli

  • | KBC Video
    5 views

    Wadau wa elimu sasa wanatoa wito kwa serikali kuongeza mgao kwa shule ili kuwawezesha watoto zaidi kupata elimu bila kuzingatia hali yao ya kifamilia. Mkurugenzi wa shule ya wasichana ya Starehe Sister Jane Soita alisema kuwa licha ya juhudi za serikali za kuhakikisha elimu inapatikana kwa wote kuafikia hilo bado ni changamoto kubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive