Wanafunzi wa chekechea Tana River kufaidika na mpango wa chakula

  • | Citizen TV
    134 views

    Ni afueni kwa wanafunzi wa chekechea katika kaunti ya Tana River baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua mpango wa lishe shuleni ili kuwavutia wanafunzi hao shuleni na kuboresha viwango vya elimu