Wanafunzi wa chuo cha pwani walaumu polisi kuhusu kifo cha Albert Ojwang'

  • | Citizen TV
    1,187 views

    baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Pwani alikosomea Ojwang wamejitokeza wakitilia shaka taarifa ya idara ya polisi kuhusu mazingira ya kifo chake.