Wanafunzi wa chuo cha Pwani wanyooshea kidole cha lawama usimamizi wa chuo kwa utepetevu

  • | NTV Video
    949 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani kaunti ya Kilifi wamenyoshea kidole cha lawama usimamizi wa chuo hicho kwa utepetevu uliosababisha vifo vya zaidi ya wanafunzi 10 miongoni mwao wafanyikazi wa chuo hicho kutokana na ajali iliyotokea eneo la Naivasha kaunti ya Nakuru .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    https://www.ntvkenya.co.ke