26 Aug 2025 1:22 pm | Citizen TV 308 views Duration: 1:43 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi, Kitivo Cha Sayansi ya afya, wametamaushwa na hali ya kucheleweshwa kwa matokeo ya mitihani yao licha ya kuhidiwa kuwa yangetolewa Julai 15.