- 144 viewsDuration: 2:32Wanafunzi wa shule ya msingi ya Loromoru wamesalia katika njia panda baada ya majengo shuleni humo kubomolewa. Ubomozi huo ulifanywa kutokana na mzozo wa ardhi baina ya jamii na idara ya huduma za misitu -KFS, ambayo ilitenga sehemu hiyo kuwa eneo la msitu. Wakazi wamepinga pendekezo la kuhamisha shule hiyo katika sehemu mbadala wakisema kuwa mwendo huo utakuwa mbali sana kwa wanafunzi kutembea