1 Oct 2025 1:12 pm | Citizen TV 153 views Duration: 1:32 Kama njia moja ya kimarisha mipango ya serikali kupanda miti bilioni kumi na tano ifikapo mwaka 2032 wanafunzi wa shule ya msingi ya ololaimutia kaunti ya narok magharibi wamehamasishwa kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira.