Wanafunzi wa sekondari Tanzania wabuni gari linalotumia nishati ya jua

  • | BBC Swahili
    490 views
    Wanafunzi sita wanaosoma katika shule ya Sekondari Arusha Science wamebuni gari linalotumia nishati ya jua (sola) lenye uwezo wa kutembea kilomita 160 likiwa limebeba mzigo wa mpaka nusu tani. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 alitembelea shule hii iliyopo mkoani Arusha na kutuandalia taarifa ifuatayo. 🎥@eagansalla_gifted_sound #bbcswahili #teknolojia #sayansi