Wanafunzi wa vyuo vikuu kunufaika na punguzo la karo kuanzia Septemba

  • | Citizen TV
    400 views

    Wanafunzi wanaosomea mafunzo ya udaktari na Usanifu Ujenzi ni miongoni mwa wale watakaoanza kulipa karo ya chini kuanzia mwezi septemba mwaka huu. Hii ni baada ya wizara ya Elimu kutangaza kupunguzwa kwa karo ya vyuo vikuu kwa baadhi ya kozi kufuatia mapendekezo yaliyotolewa na kamati maalum ya elimu iliyoteuliwa na rais mwaka jana