Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa vyuo vya ufundi wataka ufadhili wa elimu

  • | Citizen TV
    105 views
    Duration: 1:38
    Wanafunzi wa Vyuo vya Mafunzo Anuai wametishia kuandamana wiki ijayo kwa kile wanachodai ni kutelekezwa na serikali. Wanafunzi hao wanasema licha ya Rais William Ruto kuahidi watapokea ufadhili wa masomo kwa miaka miwili sasa hawajapata mgao huo suala linalowasukuma wengi wao kuacha masomo kwa kushindwa kulipa karo.