Wanafunzi wa zamani wahimizwa kushauri wanafunzi wa kike kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    304 views

    Wadau wa elimu katika kaunti ya Trans-Nzoia wanazitaka shule za upili haswa za wasichana kuwatumia wanafunzi wa zamani wa shule hizo kuwaelekeza wanafunzi wa sasa kuhusu maadili mema na jinsi ya kufaulu katika elimu na maishani.