Wanafunzi walikuwa wakisomea chini ya mti eneo la Kajiado

  • | Citizen TV
    244 views

    Wanafunzi waliokuwa wakisomea chini ya mti na Ndani ya kanisa katika shule ya msingi ya Inkorienito iliyoko Kajiado Mashariki wamepta afueni baada ya madarasa saba, mabweni mawili, majilisi na chumba cha maankuli kujengwa na wahisani. ujenzi huo wa shilingi milioni 32.7 unakisiwa kuwa utaimarisha elimu na kuwavutia wanafunzi wengi zaidi shuleni.