Wanafunzi walio gredi ya 9 sasa waanza kujiandaa kwa masomo ya sekondari ya juu

  • | Citizen TV
    228 views

    Zaidi ya wanafunzi milioni moja wa gredi ya tisa wameanza kuchagua mwelekeo wao wa elimu ya sekondari ya juu kupitia mtaala wa cbe. Wizara ya elimu imezindua njia ya elektroniki ya wanafunzi kuchagua masomo yao huku wazazi na walimu pia wakihusishwa. Zoezi hilo linatarajiwa kuendelea hadi mwisho wa mwezi huu.