Wanafunzi wanaoishi na ulemavu wahusishwa kwa michezo maalum kwale

  • | Citizen TV
    95 views

    Wanafunzi kutoka shule sita za walemavu katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wameshirikishwa kwenye michezo ya watu wanaoishi na ulemavu yalioandaliwa kwa mara ya kwanza tangu shule hizo kuanzishwa.