Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wasisitisha masomo na kujitosa katika uraibu wa mihadarati Kitale

  • | NTV Video
    113 views
    Duration: 1:47
    Asilimia kubwa ya wakazi katika eneo la mabanda Matisi na Forkland mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia wanaishi katika hali duni ya uchochole. Hali hii mtazamaji imechangia wanafunzi wengi kusitisha masomo yao na kujitosa katika uraibu wa mihadarati. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya