Wanafunzi wazidi kukanganyika kutokana na mfumo mpya wa ufadhili wa masomo katika vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    178 views

    Mfumo mpya wa ufadhili wa masomo katika vyuo vikuu unaendelea kuleta mkanganyiko zaidi kwa idadi kubwa ya wanafunzi nchini. Baadhi ya wanafunzi wameathirika vibaya na mfumo huu wa ufadhili ambao umeibua hisia tofauti kutoka kwa wadau wa elimu na wananchi Kwa jumla.