Wanafunzi wazidi washerehekea matokeo ya mtihani wa KCPE

  • | Citizen TV
    950 views

    Sherehe za kuwapongeza wanafunzi waliofanya vema katika mtihani wa KCPE mwaka huu zimeendelea kote nchini huku wanafunzi , walimu na wazazi wakiwasherehekea watahiniwa kwa nyimbo na mbwembwe.