17 Feb 2026 7:56 pm | Citizen TV 76 views Duration: 1:28 Zaidi ya wanafunzii 700 bora kote nchini wamejumuika hapa nairobi kwa mafunzo ya pamoja kabla ya kuwaandaa kutumwa matawi mbalimbali ya benki ya equity kote nchini