Skip to main content
Skip to main content

Wanagenzi wa ualimu wapokea ufadhili eneo la Lafey

  • | KBC Video
    104 views
    Duration: 2:33
    Wanagenzi 150 wanaosomea kozi ya ualimu katika eneobunge la Lafey kaunti ya Mandera wamepata ufadhili kutoka kwa hazina ya ustawi wa eneo bunge hilo katika hatua inayolengwa kushughulikia tatizo la uhaba wa walimu katika eneo hilo . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive