Wanahabari Fred Mochama wa KBC, Victor Mogoa wa K24 washambuliwa

  • | KBC Video
    26 views

    Wanahabari Fred Mochama wa shirika la utangazaji hapa nchini KBC na Victor Mogoa wa shirika la K24 walijipata pabaya walipokabiliwa na watu wanaodaiwa kukodeshwa na mjenzi wa kibinafsi kulinda jengo kwenye kipande cha ardhi kinachozozaniwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive