Wanahabari Nakuru waandamana kulalamikia dhuluma

  • | Citizen TV
    1,426 views

    Waandishi wa habari jijini Nakuru chini ya muungano wao wameandamana hadi kwenye ofisi ya kamanda wa polisi wa nakuru wakitaka polisi aliyempiga risasi mwanahabari wa runinga na redio ya kameme catherine kariuki achukuliwe hatua.