Wanahabari wadai kuingiliwa na maafisa wa kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    707 views

    Wanahabari katika kaunti ya Nandi wanahofia usalama wao wakilalamikia maafisa wa kaunti hiyo kuhitilafiana na kazi yao.