Wanahabari wajipima uwanjani

  • | Citizen TV
    589 views

    Kikosi cha wanahabari wa Pwani wameandikisha matokeo mchanganyiko kwenye ziara yake kaunti za Nairobi na Machakos mwishoni mwa wiki.