Wanaharakati kutoka Bungoma wataka Uingereza kuwapa fidia familia zilizoathirika na unyanyasaji wa U

  • | West TV
    13 views
    Mfalme charles wa tatu na mkewe malkia camilla wakiwa nchini kwa ziara rasmi, wanaharakati katika kaunti ya bungoma sasa wamejitokeza kutoa wito kwa serikali ya uingereza kuzipa fidia familia za wakenya waliouawa kwenye vita dhidi ya wakoloni