Wanaharakati kutoka Nakuru wataka ripoti ya fedha za Covid-19 kutekelezwa

  • | Citizen TV
    299 views

    Mashirika ya kutetea haki za raia jijini Nakuru yanataka serikali kuu kutekeleza mapendekezo baada ya ripoti ya ukaguzi kuhusu utumizi wa fedha za COVID-19 kutolewa miaka miwili iliyopita. Kulingana na wadau wa afya, ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ilipendekeza hatua za kuchukuliwa na serikali za kaunti kwa madai ya ubadhirifu wa fedha.