Wanaharakati: Vunjeni idara ya polisi, imesheheni ufisadi

  • | K24 Video
    33 views

    Watetezi wa haki za binadamu wanataka idara ya polisi ivunjiliwe mbali kutokana na kukithiri kwa ufisadi. Mwito huo unafuatia ripoti ya tume ya EACC iliyoonyesha idara ya polisi ndiyo fisadi zaidi nchini. Wanauliza mtawauaje na huku munawaibia? majibu kitsao ana maelezo zaidi.