Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati waenda nyumba baada ya nyumba kutoa taarifa kuhusu saratani

  • | Citizen TV
    436 views
    Duration: 1:41
    Wanaharakati wa Afya waongeza juhudi za kupambana na saratani kupitia kampeni ya nyumba kwa nyumba katika eneo la Watamu, Kaunti ya Kilifi, wakilenga kuwaelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kugundua mapema ugonjwa huo hatari. Wanaharakati hao, ambao baadhi yao pia ni waathiriwa wa ugonjwa wa saratani, wametembelea makazi ya wanavijiji wakitoa elimu kuhusu dalili za mapema za saratani na umuhimu wa kupima hali ya afya mara kwa mara.