Wanaharakati wakemea ufisadi katika huduma ya kitaifa ya polisi

  • | Citizen TV
    188 views

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanataka kuvunjiliwa mbali kwa Huduma ya Kitaifa ya Polisi kufuatia ufichuzi wa kushangaza katika Ripoti ya EACC kuhusu Viwango vya Ufisadi, ambayo imeorodhesha huduma hiyo kuwa miongoni mwa taasisi fisadi zaidi nchini