Wanaharakati wanaopinga mswada wa fedha waandamana na kukabiliana na polisi jijini Nairobi

  • | K24 Video
    701 views

    Wanaharakati wanaopinga mswada wa fedha wa 2023 wameandamana na kukabiliana na polisi leo asubuhi katikati mwa jiji kuu la Nairobi, wakisema hawaridhishwi na mapendekezo ya kuongeza ushuru katika bidhaa muhimu ikiwemo mafuta ya petroli. pia wamepinga makato ya hazina ya nyumba za bei nafuu. Wamesema kuwa gharama ya maisha iko juu na wakenya hawataweza kumudu endapo watatozwa ushuru zaidi. hata hivyo polisi walitawawatanya kwa kutumia vitoa machozi, na kuwatia mbaroni baadhi yao.