Wanaharakati wanne wa kutetea haki za kibinadamu wamekamatwa

  • | Citizen TV
    3,112 views

    Wanaharakati wanne wa kutetea haki za kibinadamu wamekamatwa mapema leo wakati wa maandamano jijini Mombasa. Waandamanaji hao walikuwa wakipaza sauti wakitaka haki kwa mwanablogu Albert Ojwang na kutaka kukamatwa kwa naibu Inspekta Jenerali wa polisi aliyejiondoa Eliud Lagat kutokana na kifo chake.