- 15,482 viewsDuration: 1:31China na Ufilipino zimezozana na kulaumiana baada ya kutokea tukio la kugombana kati ya vikosi vyao vya baharini katika eneo la Bahari ya China Kusini ambalo nchi zote mbili zinadai kuwa ni lao Victor Kenan anaelezea #bbcswahili #china #ufilipino Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw