Wanajeshi wa Israel wafariki Ukanda wa Gaza
Israel Jumanne imeripoti vifo vya wanajeshi wake 24 huko Ukanda wa Gaza, moja kati ya siku mbaya sana kwa jeshi la Israeli tangu kuanza kwa kampeni ya kuwatokomeza wanamgambo wa kikundi cha Hamas.
Msemaji wa jeshi la Israeli Rear Admiral Daniel Hagari amewaambia waandishi wanajeshi 21 walikuwa wanajiandaa kubomoa majengo mawili kwa kutumia vilipuzi Jumatatu wakati mwanamgambo mmoja alifyatua roketi kuelekea katika kifaru kilicho kuwa karibu na vilipuzi vilivyokuwa katika majengo vililipuka, na majengo yakawaangukia wanajeshi wa Israeli. Wanajeshi watatu wengine walifariki katika shambulizi jingine.
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema jeshi limeanzisha uchunguzi kufuatia janga hilo.
“Jana tulipitia moja kati ya siku zetu ngumu tangu kuanza kwa vita hivyo,” Netanyahu alisema. “Kwa majina ya mashujaa wetu, kwa sababu ya maisha yetu, hatutaacha kupigana mpaka ushindi kamili upatikane.”
Baadhi ya taarifa hizi zinatokana na mashirika ya habari ya AP, AFP na Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- The PROMISES!
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.