Skip to main content
Skip to main content

Wanakeekonyokie waandamana kupinga ugavi wa ardhi ya Kibiko

  • | Citizen TV
    296 views
    Duration: 2:13
    Mamia ya wanachama wa ardhi ya kijamii ya Keekonyokie Community Trust, walifanya maandamano wakipinga zoezi la ugavi wa ardhi katika eneo la Kibiko, Ngong, Kaunti ya Kajiado. Wanachama hao wanadai kuwa ardhi hiyo ilikuwa ikigawanywa kinyume na amri ya mahakama iliyotolewa kuzuia shughuli zozote katika ardhi hiyo.