Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Kenya wajitokeza kupiga kura

  • | VOA Swahili
    2,535 views
    - Wakenya watumia haki yao ya kikatiba kuchagua rais na viongozi wengine Jumanne ... ... Ili kukujuza yapi yaliyojitokeza katika vituo vya kupiga kura tutaungana na waandishi wetu kutoa maeneo mbalimbali nchini Kenya. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.